Naitwa Benson, kijana ambaye nimefanikiwa sana katika taaluma yangu ya uhandisi wa kiraia hapa jijini Dar es Salaam. Kwa nje, kila mtu alikuwa akinitamani; nina mjengo wangu, nina gari la kisasa, na nina kipato kinachonifanya nisaidie ndugu na jamaa. Lakini ndani ya moyo wangu, kulikuwa na kidonda kisichopona.

Kwa zaidi ya miaka kumi, nimekuwa nikiingia na kutoka kwenye mahusiano, na kila mara mambo yalikuwa yanaishia kwenye hatua ya posa.

Nilishawahi kutoa posa kwa wanawake watatu tofauti kwa nyakati tofauti, lakini kila tulipokuwa tukianza maandalizi ya harusi, mambo yalikuwa yanaharibika bila sababu za msingi.

ENDELEA KUSOMA