Uwezo wake wawekwa hadharani

Haya hapa majukumu yake..  Mhe. Angela Charles Kizigha Mshauri wa Rais Masuala ya Jamii.

.......................... 

MAENDELEO ya jamii ni jambo ambalo husaidia kuwawezesha mtu mmoja mmoja au  vikundi vya kijamii kuleta mabadiliko katika jamii zao.

Ili kufikisha maendeleo hayo kwa jamii inatakiwa kupewa maarifa, ujuzi na kuunda vikundi vitakavyokuwa na kazi na ajenda maalumu.

Maendeleo ya Jamii kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa hutafsiriwa kama Mchakato wa wanajamii kukusanyika pamoja kwa ajili ya kupata suluhisho la matatizo yanayowakabili.

Kutokana na unyeti na ukubwa wa...KUENDELEA KUSOMA BOFYA HAPA