Kwa muda mrefu nilikuwa naishi maisha ya kawaida nikiamini afya yangu ilikuwa sawa. Nilikuwa mtu wa kujituma sana kwenye kazi na shughuli za nyumbani. Lakini ghafla mwili wangu ulianza kubadilika kwa namna ambayo sikuielewa. Mwanzoni ilikuwa ni uchovu wa kawaida tu.
Nilikuwa naamka asubuhi nikiwa sina nguvu, lakini nilijipa moyo kuwa labda ni kazi nyingi au stress za maisha. Baada ya muda, nikaanza kusikia maumivu ya kifua mara kwa mara. Wakati mwingine nilikuwa nahisi kama kifua kinabana kidogo na mwili wote kukosa nguvu.
Kadri siku zilivyopita, hali ilianza kuwa mbaya zaidi.



0 Comments