RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ALIVYO WASILI ANKARA NCHINI UTURUKI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Ankara Esenboga nchini Uturuki kwa ajili ya Ziara Rasmi tarehe 17
Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara
baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ankara Esenboga nchini
Uturuki kwa ajili ya Ziara Rasmi tarehe 17 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Familia na Huduma za
Jamii wa Uturuki Mahinur Ozdemir Goktas mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Ankara Esenboga nchini Uturuki kwa ajili ya Ziara Rasmi
tarehe 17 Aprili, 2024.
No comments