RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKTARI (HONORIS CAUSA)
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya
Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara
nchini Uturuki Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo
tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wageni mbalimbali, viongozi na
wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ankara, mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima
ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara
nchini Uturuki Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo
tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi mara baada ya kutunukiwa Shahada
ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi katika Chuo Kikuu cha Ankara
nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024.
Baadhi ya Wahadhiri na Viongozi
mbalimbali waliohudhuria hafla ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari
(Honoris Causa) ya Uchumi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan katika Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki tarehe 18
Aprili, 2024. Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo
Kikuu cha Ankara wakiwa kwenye hafla ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya
Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki tarehe 18
Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Baadhi ya
viongozi pamoja na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki mara baada
ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi Chuoni
hapo tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi
mbalimbali, baadhi ya waandishi wa habari, wanafunzi pamoja na wahadhiri wa
Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki mara baada ya kutunukiwa Shahada ya
Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi Chuoni hapo tarehe 18 Aprili,
2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanafunzi wa Tanzania
wanaosoma nchini Uturuki wakati akijiandaa kuingia ukumbini kwa ajili ya hafla
ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi katika
Chuo Kikuu cha Ankara tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya
kuwasili katika Chuo Kikuu cha Ankara tarehe 18 Aprili, 2024. Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Necdet
Unuvar pamoja na Waziri wa Familia na Huduma za Jamii wa Uturuki Mahinur
Ozdemir Goktas kushoto.
No comments