WAZIRI WA UCHUMI WA BULUU NA UVUVI AGAWA BOTI NA VIFAA KASKAZINI UNGUJA

Subscribe Us

WAZIRI WA UCHUMI WA BULUU NA UVUVI AGAWA BOTI NA VIFAA KASKAZINI UNGUJA

Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Shaaban Ali Othman akimkabidhi Mwanachama wa Kikundi cha Wajaliwao kinacho jishughulisha na Shughuli za Uvuvi na Mwani Shauri Juma Shauri Boti pamoja na Vifaa kwa ajili ya kuwasaidia katika kazi zao katika hafla ya Mkono kwa Mkono awamu ya Pili iliofanyika Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Shaaban Ali Othman akinyoosha Mkono kuashiria jambo wakati akizungumza na Wananchi mbalimbali waliohudhuria  katika hafla ya Mkono kwa Mkono awamu ya Pili iliofanyika Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika hafla ya Mkono kwa Mkono awamu ya Pili iliofanyika Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Rashid Hadidi Rashid akitoa hotuba ya makaribisho katika hafla ya Mkono kwa Mkono awamu ya Pili iliofanyika Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dkt,Khalid Salum Mohamed akizungumza kuhusiana na Ujenzi wa miundombinu iliokwisha kufanyika katika Mkoa wa Kaskazini Unguja alipokua akizungumza na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Mkono kwa Mkono awamu ya Pili iliofanyika Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja.


 Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Shaaban Ali Othman akinyoosha Mkono kuashiria jambo wakati akizungumza na Wanavikundi wanaojishughulisha na Uvuvi na Mwani waliopatiwa Boti na Vifaa  mbalimbali  katika hafla ya Mkono kwa Mkono awamu ya Pili iliofanyika Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  (PICHA NA YUSSU  SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR,10/11/2024.)

Post a Comment

0 Comments