Safari yangu ya elimu haikuwa rahisi kama watu wengi walivyodhani. Nilijaribu mara ya kwanza kufanya mitihani yangu ya mwisho nikiwa na matumaini makubwa, lakini matokeo yalipokuja, nilifeli. Iliniumiza sana, lakini niliamua kujaribu tena.
Mara ya pili, niliweka juhudi zaidi. Nilijisomea kwa bidii, nikajitenga na marafiki, na kutumia muda wangu mwingi kusoma. Lakini matokeo yaliporudi, bado hayakuwa ya kuridhisha. Nilihisi kama ndoto yangu ya kujiunga na chuo kikuu ilikuwa inaanza kufifia.









No comments:
Post a Comment