Treni ya Umeme ya Kisasa ya (SGR) ikipita maeneo ya Pugu jijini Dar es Salaam katika majaribio yake ya kawaida. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni hiyo kutoka Mkoa wa Dar es Salaam hadi Mkoa Pwani na hivi karibuni itaendelea na majaribio hayo mpaka Mkoa wa Morogoro. Huduma rasmi za Usafiri huo zinatarajiwa kuanza Julai, 2024.
0 Comments