SIMBA SC YACHAPWA 1-0 NA AL AHLY MCHEZO WA ROBO FAINAL CAFCL

Subscribe Us

SIMBA SC YACHAPWA 1-0 NA AL AHLY MCHEZO WA ROBO FAINAL CAFCL


Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

KLABU ya Simba imeshindwa kutamba kwenye uwanja wake wa nyumbani mara baada ya kukubali kupokea kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Al Ahly.

Katika mchezo huo wa mkondo wa kwanza Al Ahly walifanikiwa kupata bao la Mapema kupitia kwa Ahmed Kouka dakika ya 4 ya mchezo kipindi cha kwanza.

Timu hizo zitarudiana Aprili 5, 2024 ambapo Al Ahly kwenye mchezo huo atakuwa nyumbani mjini Cairo

 

Post a Comment

0 Comments