" />

HABARI ZA HIVI PUNDE

KATIBU MKUU UVCCM JOKATE MWEGELO ALIVYOPOKELEWA MTWARA

Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amepokelewa Mkoani Mtwara na kuvishwa skafu kama Ishara ya Amani, Upendo na Mshikamano kwa wananchi wa Mtwara tarehe 28 Aprili, 2028. 

Komredi Jokate Mwegelo ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM

anayefanyia kazi zake Zanzibar Komredi Abdi Mahmoud Abdi.

Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate Mwegelo (MNEC) akikabidhiwa maua wakati wa mapokezi yake mkoani humo.

Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate Mwegelo (MNEC) akivuta pazia kuashiria uzinduzi wa kiwanda cha Anno Domoni Food Industry cha mjini Mtwara.
Mapokezi makubwa yakifanyika ya kumpokea Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate Mwegelo (MNEC)
Mapokezi yakifanyika.
Picha za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan zikioneshwa wakati wa mapokezi hayo.
Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate  Mwegelo (MNEC)akivikwa skafu wakati wa mapokezi hayo.
Vijana wa Itifaki wakiwa tayari kwa mapokezi ya Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate Mwegelo (MNEC).
 

No comments