UZINDUZI WA KITABU CHA MIAKA 60 YA HISTORIA YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS PAMOJA NA KITABU CHA SAFARI ZA PICHA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo
akitoa maelezo kuhusu kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa
Rais kabla ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Aprili 24, 2024.Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa
utambulisho mfupi wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Miaka 60 ya
Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Kitabu cha Safari za Picha ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.
Selemani Jafo akiwa na mawaziri mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha
Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Kitabu cha Safari za
Picha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja (kulia) akiwa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Bi. Christina Mndeme wakiwa katika hafla hiyo.
No comments