Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Ubaruku, Wilayani Mbarali katika
muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya tarehe 05
Septemba, 2025.
0 Comments