MISS APOTEZA MAMILIONI YA FEDHA KISA UPELE USONI

Subscribe Us

MISS APOTEZA MAMILIONI YA FEDHA KISA UPELE USONI

Mwaka 2009 ulikuwa mwaka wa kumbukumbu kubwa kwa Rosie, binti mrembo mwenye mvuto wa kipekee. 

Katika mashindano ya urembo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, aliibuka kidedea na kutwaa taji la Miss.

 Kuanzia hapo maisha yake yalibadilika ghafla. 

Alipata nafasi ya kusafiri ndani na nje ya nchi, akipiga picha kwa majarida ya kimataifa, kushiriki matangazo ya bidhaa mbalimbali na pia kuwa sura ya kampeni kubwa za urembo.

Uzuri wake uliotajwa na wengi kama “baraka kutoka kwa Mungu” ulimfungulia milango mingi ya kipato. 

Alifahamiana na..SOMA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments