Kwa muda mrefu nilihisi maisha yangu yamekwama.
Nilikuwa nafanya kazi kwa bidii, najaribu kila njia, lakini hakuna kilichoonekana kuendelea.
Wenzangu kazini walipanda vyeo, jirani zangu walijenga nyumba, wengine walifanikisha biashara zao, lakini mimi nilibaki pale pale.
Nilihisi kana kwamba kuna kitu kilikuwa kinanivuta nyuma, kitu kisichoonekana lakini kilichokuwa na nguvu kubwa.
Wakati mwingine nilijiuliza labda mimi ndiye mwenye bahati mbaya au maisha yangu yalizaliwa yakiwa na mikosi.
Hali hii ilianza kunikosesha amani.
Nilipokuwa mdogo nilikuwa na ndoto kubwa, niliona maisha yangu mbele yakiwa na baraka, mali na amani.
Lakini miaka ikasogea na badala ya kupiga hatua, nikawa mtu wa kuhesabu hasara kila mara..SOMA ZAIDI
0 Comments