NYALANDU AFUNGUA NJIA YA USHINDI KWA CCM SINGIDA

Subscribe Us

NYALANDU AFUNGUA NJIA YA USHINDI KWA CCM SINGIDA


 Waziri Mstaafu wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Ilongero uliofanyika Septemba 3, 20025 mkoani Singida.

...............................

 Dotto Mwaibale na Philemoni Mazalla, Singida

Waziri Mstaafu wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameonesha dhamira ya kweli ya kuimarisha chama chake CCM kwa kujitolea mali na nguvu zake kuhakikisha chama hicho kinapata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu ujao.

Licha ya kwamba  hakupitishwa kuwania ubunge kwenye Jimbo la Ilongero, Nyalandu hakukata tamaa wala kuvunjika moyo, badala yake amezidi kuonyesha msisimko wa kipekee kwa namna...SOMA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments