DKT. MWINYI AWASILI UKUMBI WA ABDUL WAKIL KUKUTANA NA WATU WENYE MAHITAJI MAALUM

Subscribe Us

DKT. MWINYI AWASILI UKUMBI WA ABDUL WAKIL KUKUTANA NA WATU WENYE MAHITAJI MAALUM

Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akielekea kukutana na watu wenye mahitaji maalum. 

...........................................

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar 

Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasili katika ukumbi wa Idrissa Abdul Wakil-Kikwajuni uliopo Wilaya ya Mjini mkoani Mjini Magharibi kwa ajili ya kukutana na watu wenye mahitaji maalum. 

Dkt. Mwinyi anaendelea na utaratibu wake wa kukutana na makundi mbalimbali ya wananchi ili kufanya changamoto zao na hali halisi ya maisha yao.

Post a Comment

0 Comments