MBUNGE MGONTO AKUTANA NA MABOSI WAKE WA TRA BUNGENI DODOMA - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, 11 February 2026

MBUNGE MGONTO AKUTANA NA MABOSI WAKE WA TRA BUNGENI DODOMA

Mbunge wa Jimbo la Ikungi Mashariki Mkoa wa Singida,  Mhe Thomas Mgonto (katikati) ,akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Uledi Mussa (kushoto) na Naibu Kamishna wa TRA, Mcha Hassan Mcha (kulia), alipokutana na mabosi wake hao aliofanya nao kazi TRA, katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Bajeti leo Februari 11, 2026 Bungeni Jijini Dodoma.
Mbunge wa Jimbola Ikungi Mashariki Mkoa wa Singida Mhe Thomas Mgonto (katikati) ,akiwa na mabosi wake aliofanya nao kazi Makao Makuu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad