RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU CHAMWINO DODOMA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, October 1, 2022

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Abubakar Amin Mrisha kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Sylvester Joseph Kainda kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufanikatika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Idriss Ramadhan Mavura kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Suzanne Ndomba Doran kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Junus Purasdus Ndaro kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Alhaj Almas Seleman kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Agnes Kisaka Meena kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Hangi Matekeleza Chang’a kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakimuapisha Rifai Abdallah Mkumba kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.

Kamishna wa Maadili Jaji Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi akiwaongoza Kiapo cha Maadili Msajili wa Mahakama ya Rufani, Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi pamoja na Wajumbe wa Tume hiyo mara baada ya kuapishwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Viongozi walioapishwa wakiweka saini kwenye viapo vyao vya Maadili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi,Idriss Ramadhan Mavura mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja naJaji wa Mahakama Kuu Mhe. Abubakar Amin Mrisha mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 01 Oktoba, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad