Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa wakati wa Ibada ya kuingizwa kazini kwa Mkuu huyo wa Kanisa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mkuu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa
mara baada ya kuingizwa kazini wakati wa Ibada Maalum iliyofanyika katika
Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na
viongozi mbalimbali kwenye Ibada Maalum ya Kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa
inayofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21
Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya picha Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa mara baada ya kuingizwa kazini wakati wa Ibada Maalum iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.
Viongozi
mbalimbali wakiwa kwenye Ibada Maalum ya Kumuingiza Kazini Mkuu wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa inayofanyika
katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.
Kwaya
mbalimbali zikitumbuiza wakati wa Ibada Maalum ya Kumuingiza Kazini Mkuu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa
inayofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21
Januari, 2024.
Wachungaji,
wageni mbalimbali pamoja na Washarika wa Kanisa Kuu la Azania Front wakishiriki
Ibada Maalum ya Kumuingiza Kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa katika Kanisa hilo Jijini Dar
es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.
PICHA ZOTE NA IKULU
0 Comments