Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu
Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akitia saini kitabu cha maombolezo wakati wa
kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu Luteni Jenerali (mstaafu)
Balozi Martin Nikusubila Mwakalindile, katika Hospitali Kuu ya Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo, jijini Dar Es Salaam, Februari 2, 2024.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu
Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa
marehemu Luteni Jenerali (mstaafu) Balozi Martin Nikusubila Mwakalindile,
katika Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo, jijini Dar
Es Salaam,
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu
Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi (kushoto) akiwa katika shughuli ya kuuaga mwili wa Luteni
Jenerali (mstaafu) Balozi Martin Nikusubila Mwakalindile iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) Lugalo, jijini Dar Es Salaam, Ijumaa Februari 2, 2024.
Rais Mstaafu, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,
akizungumza jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob John
Mkunda wakati kiongozi huyo alipoongoza waombolezaji wengine kushiriki shughuli
ya kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu Luteni Jenerali
(mstaafu), Balozi Martin Nikusubila Mwakalindile, iliyofanyika Hospitali Kuu ya
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), leo Ijumaa, Februari 2, 2024. Kulia
katika picha ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Stergomena
Lawrence Tax na kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu
Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu
Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob John Mkunda wakati wa shughuli ya kuuaga mwili wa Luteni
Jenerali (mstaafu) Balozi Martin Nikusubila Mwakalindile iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) Lugalo, jijini Dar Es Salaam, Ijumaa Februari 2, 2024.Kulia katika picha ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Stergomena Lawrence Tax
0 Comments