Jeshi la Polisi-Arusha
Chama cha wanawake Mawakala wa Utalii Tanzania (TAWTO) kimeungana na Jeshi la Polisi kupinga vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia Mkoani Arusha kwa kukarabati Ofisi ya Dawati la Jinsia na Watoto Wilaya mjini.
Akiongea mara baada ya ufunguzi wa ofisi hiyo Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amesema kuwa endapo kutakuwa na Jamii kubwa iliyoathiriwa na vitendo vya ukatili itapelekea usalama kupungua huku akikipongeza chama hicho kwa kuonyesha njia ya kupinga vitendo vya ukatili katika jamii.
0 Comments