Na:Yusuph Kayanda -Morogoro
Vikundi vya wakinamama
Mkoani Morogoro, wanaojihusisha na shughuli za ujasiliamali kupitia Benki
za Hifadhi za Jamii COCOBA wametoa shuhuda zao za namna Serikali chini ya Rais
Dkt Samia Suluhu Hassan, kupitia Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na
Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) ilivyo weza kuwainua
kiuchumi, na kuweza kujimudu kimaisha na kuchangia katika Pato la Taifa.
0 Comments