Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Jamhuri ya
Kiislam ya Iran nchini Tanzania kufuatia Kifo cha Rais wa Nchi hiyo Hayati
Ebrahim Raisi kilichotokana na ajali ya Helikopta nchini Iran. Rais Samia
alisaini Kitabu hicho katika Ubalozi wa Iran uliopo Oysterbay Jijini Dar
es Salaam tarehe 24 Mei, 2024. Kushoto ni Balozi wa Iran hapa nchini Mhe. Hossein
Alvandi Bahineh. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Balozi wa Jamhuri ya
Kiislam ya Iran hapa nchini Mhe. Hossein Alvandi Bahineh mara baada ya kusaini
Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Nchi hiyo uliopo Oysterbay
Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Mei, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya
Kiislam ya Iran hapa nchini Mhe. Hossein Alvandi Bahineh mara baada ya kusaini
Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Nchi hiyo uliopo Oysterbay
Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Mei, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Balozi wa Jamhuri ya
Kiislam ya Iran hapa nchini Mhe. Hossein Alvandi Bahineh pamoja na Maafisa
Mbalimbali wa Ubalozi huo mara baada ya kusaini Kitabu cha Maombolezo katika
Ubalozi wa Nchi hiyo uliopo Oysterbay Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Mei, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Maafisa wa
Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran hapa nchini mara baada ya kuwasili katika
Ofisi za Ubalozi huo Oysterbay Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Mei, 2024











No comments:
Post a Comment