Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo
na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong, Mhe.
Kim Hyung- ryeol mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi
wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei,
2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong, Mhe. Kim Hyung- ryeol mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara
Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024. Jiji hilo la Sejong ni Makao Makuu Mapya
ya Korea Kusini na Jiji hilo lina mahusiano na Jiji la Dodoma ambalo ni Makao
Makuu ya Serikali.











No comments:
Post a Comment