Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni
Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani ameongoza Hafla ya Harambee ya kuchangia Ujenzi wa
Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika
Hyatt Regency Hotel Jijini Dar es Salaam. Juni 29, 2024.
Sunday, June 30, 2024
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HARAMBEE UJENZI WA JENGO LA KIUCHUMI CCM PWANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ni chombo cha habari kinachotoa habari na matukio mbalimbali nchini Tanzania na kokote duniani ,kwa kujali weledi na taaluma ya habari.
KWA MATANGAZO NA HUDUMA YA HABARI, WASILIANA NASI,
0754 362 990.
0688 914 344
Email: singidani77@gmail.com,















No comments:
Post a Comment