Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Kamati ya Kuunda
Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai kutoka kwa Makamu
Mwenyekiti wa Tume hiyo Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Mhe. Balozi Ombeni Sefue.
Hafla ya upokeaji wa Taarifa hiyo imefanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
tarehe 15 Juni, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni
mbalimbali mara baada ya kupokea Taarifa ya Kamati ya Kuunda Mkakati wa
Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
tarehe 15 Juni, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Taarifa ya Kamati
ya Kuunda Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai kwenye
hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2024
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya kupokea Taarifa ya Kamati ya Kuunda Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko, Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Viongozi wengine kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Kuunda Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2024























No comments:
Post a Comment