Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa kwenye mapokezi Rasmi yaliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Julai, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja
na mgeni wake Rais
wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati Gwaride la Heshima
lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likipita mbele yao mara
baada ya mapokezi Rasmi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Julai, 2024.
Rais
wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi
la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Julai,
2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni
wake Rais
wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati wakielekea kwenye
mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Julai, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake
Rais
wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu
Jijini Dar es Salaam Julai 02, 2024.
Rais
wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akiangalia vikundi vya burudani wakati wa
mapokezi yake kwenye viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Julai,
2024.
Rais
wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya
kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Julai, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na mgeni wake Rais
wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Julai,
2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha
ya pamoja na Rais wa
Msumbiji Mhe. Filipe
Jacinto Nyusi
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Julai, 2024.























No comments:
Post a Comment