Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi tayari kwa kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa
Kampeni ya Mhe. Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya
anayewania nafasi ya Mwenyekiti Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) ikiwa ni
mualiko kutoka kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Dkt. William Samoei Ruto.
Hafla hiyo itafanyika katika
Ikulu ya Nairobi na kuhudhuriwa na Wakuu wa nchi mbalimbali, tarehe 27 Agosti,
2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini
kitabu cha kumbukumbu ya wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi tayari kwa kuhudhuria hafla ya Uzinduzi
wa Kampeni ya Mhe. Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya
anayewania nafasi ya Mwenyekiti Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) ikiwa ni mualiko
kutoka kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Dkt. William Samoei Ruto.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Waziri wa Ardhi, Kazi za Umma, Nyumba na Maendeleo ya Miji Mhe.Alice Muthoni
Wahome mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo
Kenyatta, Nairobi tayari kwa kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Mhe.
Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi
ya Mwenyekiti Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) ikiwa ni mualiko kutoka kwa
Rais wa nchi hiyo Mhe. Dkt. William Samoei Ruto.
0 Comments