RAIS. DKT. SAMIA AHUTUBIA WANANCHI WA JIMBO LA PERAMIHO - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, 24 September 2024

RAIS. DKT. SAMIA AHUTUBIA WANANCHI WA JIMBO LA PERAMIHO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Peramiho, katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.
Wananchi wa Jimbo la Peramiho wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika mjini hapo  Mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad