Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
picha ya pamoja na Watawa wa Shirika la Benedicto wa Tutzing mara baada ya
kutembelea Kanisa la Mt. Benedicto, Parokia ya Peramiho, Jimbo Kuu la Songea
mkoani Ruvuma .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata
maelezo ya historia ya Kanisa kutoka kwa
Padre Fredrick Mwabena OSB alipotembelea Kanisa la Mt. Benedicto,
Parokia ya Peramiho, Jimbo Kuu la Songea mkoani Ruvuma .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Watawa wa Shirika la Benedicto wa Tutzing mara baada ya kutembelea Kanisa la
Mt. Benedicto, Parokia ya Peramiho, Jimbo Kuu la Songea mkoani Ruvuma tarehe 24
Septemba, 2024.











No comments:
Post a Comment