RAIS MWINYI AHUTUBIA BARAZAC LA MAULID ZANZIBAR - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, 19 September 2024

RAIS MWINYI AHUTUBIA BARAZAC LA MAULID ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalumu na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, wakati wa hafla ya Baraza la Maulid Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 18-9-2024.
(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Baraza la Maulid Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi na Dini baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja, kuhudhuria Baraza la Maulid Zanzibar, lililofanyika leo 18-9-2024 katika ukumbi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokelea kwa Kasida maal;umu kutoka kwa Wanafunzi wa Madrassatul As–Habu Swiratil Mustaqim, alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kuhudhuria hafla ya Baraza la Maulid Zanzibar, lililofanyika leo 18-9-2024 katika ukumbi huo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad