WAZIRI MKUU ASHIRIKI MKUTANO WA ‘SUMMIT OF THE FUTURE - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, 22 September 2024

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MKUTANO WA ‘SUMMIT OF THE FUTURE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 22, 2024 akishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa ngazi ya juu wa Wakuu wa Nchi na Serikali ‘Summit of the Future’ uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Umoja wa Mataifa New York nchini Marekani.

Mkutano huo unawaleta pamoja viongozi wa nchi na Serikali duniani ili kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo na namna wanaweza kuboresha hali ya sasa na kuzilinda siku zijazo.

Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini Marekani kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad