DC NYANG’WALE ATENBELEA BANDA LA DIB MAONESHO YA MADINI GEITA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, 11 October 2024

DC NYANG’WALE ATENBELEA BANDA LA DIB MAONESHO YA MADINI GEITA

Mkuu wa wilaya ya Nyang’wale Grace Kingalame akipata maelezo kutoka kwa Kulwa James Kasuka, Mhasibu Mwandamizi kutoka Bodi ya Bima ya Amana DIB  wakati alpotembekea banda hilo kwenye maonesho ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita Oktoba 10, 2024, kulia ni Afisa wa Bodi ya Bima ya Amana (DIB) Careen Max. 

Mkuu wa wilaya ya Nyang’wale Grace Kingalame akipokea zawadi kutoka kwa Kulwa James Kasuka, Mhasibu Mwandamizi kutoka Bodi ya Bima ya Amana DIB  wakati alipotembekea banda hilo kwenye maonesho ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita Oktoba 10, 2024,

 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad