Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
amekutana na kufanya mazungumzo na
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Bw. Sakumzi
Macozoma pamoja na ujumbe wake mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Bw. Sakumzi Macozoma akiwa kwenye mazungumzo hayo.
Kikao hicho kikiendelea.
Muonekano wa kikao hicho.











No comments:
Post a Comment