Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akizungumza na wajumbe wa Baraza la
Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua Mkutano wa
Baraza la Wafanyakazi wa ofisi hiyo uliofanyika Jijini Dodoma.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo akizungumza na Wajumbe wa
Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akimkaribisha
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) aweze kufungua Mkutano
wa Baraza la Wafanyakazi uliofanyika Jijini Dodoma.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akiwaongoza wajumbe wa Baraza la
Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuimba wimbo wa mshikamano
daima wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza hilo uliofanyika Jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wakichangia mada wakati wa
Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
uliofanyika Jijini DodomaMada zikichangiwa.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati
akifungua Mkutano wa Baraza hilo uliofanyika Jijini Dodoma.Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye
picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa
Serikali mara baada ya kufungua mkutano huo uliofanyika Jijini Dodoma.












No comments:
Post a Comment