Ni vigumu kuamini kama
rafiki yangu huyo angeweza kunifanyia kitendo cha ajabu na kitia aibu kama
hicho.
Mara kwa mara nilikuwa
napata habari kutoka kwa watu mbalimbali kuwa mke wangu amekuwa akinisaliti
sana.
Kila muda nilikuwa namuuliza hilo lakini alikuwa
anakataa na kusema kamwe hawezi kufanya jambo kama hilo.
Nilianza mchakato wa
kumchunguza kwa makini kuhusu mwenendo wake ili niweze kujiridhisha kama ni
kweli hayo nayosikia kutoka kwa watu. Lakini kwa bahati mbaya sikufanikiwa
kubaini chochote ambacho kimekuwa kinazungumzwa.
Baada ya muda niliamua
kuachana na jambo hilo na kuendelea na maisha yangu mengine ya utafutaji. Hata
hivyo, bado niliendelea kusikia habari za usaliti anaofanya mke wangu pale
mtaani kwetu.
Hakuna kipindi nilipitia
changamoto ya kuwa na msongo wa mawazo kama kipindi hicho, maana niliogopa
kuchukua uamuzi kwa maneno ya kusikia kwa watu.
Siku moja nilisikia tangazo
katika redio kuwa Dr Bokko anatoa huduma ya kubaini iwapo mkeo anakusaliti
ndani ya ndoa.
Nilichukua uamuzi wa
kuwasiliana naye kupitia namba yake ambaye ni +255618536050 na kumwambia
anifanyie huduma hiyo mara moja maana nataka kujua ukweli wa jambo hilo.
Baada ya siku tatu,
nilipigiwa simu na rafiki yangu mkubwa na kuniambia kuwa amemuona mke wangu
akiingia Gesti na mtu ambaye hajamjua.
Niliamua kwenda kwenye hiyo
Gesti ili niweze kujua ukweli wa jambo hilo, basi nilingoja nje na kuwaona
wakiwa wanatoka na kumfuata mke wangu, aliponiona na aliishiwa nguvu na kuanza
kulia kwa uchungu huku akiomba msamaha.
Yule jamaa aliamua kukimbia
kwa aibu ile maana ananijua hivyo aliponiona akajua lazima nitaleta shari.
Nilirejea nyumbani na mke wangu na baadaye nikawaita ndugu zake na kuwaelezea
jambo hilo.
Tuliyangumza kindugu na kirafiki na kuyamaliza, mke wangu aliahidi kitorudia tena ujinga huo. Nilimwambia kwa sasa nina dawa toka kwa Dr Bokko hivyo atakapo jaribu tu kuchepuka lazima nijue.
0 Comments