RAIS SAMIA AKUTANA NA WAKUU WA MISHENI ZA UANGALIZI WA CHAGUZI ZA SADC (SEOM) - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, January 9, 2025

RAIS SAMIA AKUTANA NA WAKUU WA MISHENI ZA UANGALIZI WA CHAGUZI ZA SADC (SEOM)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mmoja wa Wakuu wa Misheni za Uangalizi wa Chaguzi za SADC (SEOM) Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mohammed Chande Othman na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, katika Ikulu ndogo ya Tunguu ,Zanzibar  Januari 9, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mmoja wa Wakuu wa Misheni za Uangalizi wa Chaguzi za SADC (SEOM) Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda katika  Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar Januari 9,2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mmoja wa Wakuu wa Misheni za Uangalizi wa Chaguzi za SADC (SEOM) Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anna Makinda na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanziba.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad