WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Januari 10, 2025 amewasili Kampala nchini Uganda ambapo kesho Januari 11, 2025 atamwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika Mkutano kuhusu Mpango wa Kilimo Afrika utakaofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Speke Resort and Conference Centre Munyonyo. Mheshimiwa Waziri Mkuu alipokelewa na Waziri wa Nchi anayeshugulikia Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Uganda, Fredrick Bwino, Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Meja Jenerali Paul Kisesa, Balozi wa Uganda nchini, Kanali Mstaafu, Fredy Mwesigye.
Friday, January 10, 2025
WAZIRI MKUU AWASILI UGANDA KUMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA MKUTANO WA KILIMO
Tags
# Habari
Kuhusu - Singidaniblog
Habari
Tags:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ni chombo cha habari kinachotoa habari na matukio mbalimbali nchini Tanzania na kokote duniani ,kwa kujali weledi na taaluma ya habari.
KWA MATANGAZO NA HUDUMA YA HABARI, WASILIANA NASI,
0754 362 990.
0688 914 344
Email: singidani77@gmail.com,











No comments:
Post a Comment