DC MAPUNDA AFUNGA MAFUNZO KWA VIKUNDI VYA MIKOPO YA HALMASHAURI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, February 21, 2025

DC MAPUNDA AFUNGA MAFUNZO KWA VIKUNDI VYA MIKOPO YA HALMASHAURI

Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe Sixtus Mapunda Februari 21, 2025 ameahirisha Mafunzo kwa Vikundi 145 vyenyw Wanufaika 710  kwa ajili ya kupata Mikopo ya asilimia 10% inayotokana na Mapato ya ndani ya Manispaa kwa ajili ya  Vijana, Wanawake na 2atu wenye Ulemavu.

Mafunzo hayo ya siku mbili yaliyoanza jana  Februari 20, 2025 yamehitimishwa hivi leo katika ukumbi wa Sabasaba wilayani Temeke huku washiriki wakisisitizwa juu ya matumizi sahihi ya mikopo hiyo kutokana na malengo waliyojiwekea wana kikundi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad