Rais Samia akipokelewa na wenyeji wake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya uapisho wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah tarehe 21 Machi, 2025. Sherehe hizo pia zitambatana na maadhimisho ya miaka 35 ya Uhuru wa nchi hiyo ambapo Mhe. Rais Dkt. Samia amealikwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe hizo.
Friday, 21 March 2025
RAIS SAMIA AWASILI WINDHOEK NCHINI NAMIBIA
Tags
# Habari
Kuhusu - Singidaniblog
Habari
Tags:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ni chombo cha habari kinachotoa habari na matukio mbalimbali nchini Tanzania na kokote duniani ,kwa kujali weledi na taaluma ya habari.
KWA MATANGAZO NA HUDUMA YA HABARI, WASILIANA NASI,
0754 362 990.
0688 914 344
Email: singidani77@gmail.com,











No comments:
Post a Comment