Ukweli ni kwamba kila mfanyabiashara ambaye unaona amefanikiwa, ana siri kuhusu mafanikio, kuna jambo la muhimu nyuma ya pazia katika yale mafanikio yake, na sio wote wapo tayari kuzungumzia hilo.
Nimekuja kuamini
hilo baada ya kukutana na Kiwanga Doctors na kunieleza wafanyabiashara maarufu
na wakubwa wengi wamepita kwao kutazamwa nyota zao kibiashara, na ndipo
wakaenda kufanya kazi katika eneo la nyota zao na kufanikiwa.
Jina langu ni
Dullah kutokea Moshi, mimi ni Mfanyabiashara ambaye najishughulisha na
usafirishaji wa mizigo kutokea bandari ya Mombasa kuja Nairobi.
Nashukuru sana kazi hii ambayo nimeifanya kwa miaka zaidi ya mitano sasa, imekuwa yenye faida sana kwenye maisha yangu na jamii yangu kwa ujumla, kipato kizuri napata sio haba, maisha yanasonga...









No comments:
Post a Comment