REBECCA JULIUS WELLIA ARUDISHA FOMU KUWANIA UBUNGE VITI MAALUM KUNDI LA VIJANA SINGIDA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, July 2, 2025

REBECCA JULIUS WELLIA ARUDISHA FOMU KUWANIA UBUNGE VITI MAALUM KUNDI LA VIJANA SINGIDA

Katibu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Benedictor Bujiku. akipokea fomu kutoka kwa Rebecca Julius Wellia ya kuomba ridhaa ya kupitishwa na chama chake kugombea nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana Mkoa wa Singida.
..................................

Na Dotto Mwaibale, Singida

Rebecca Julius Wellia wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha  Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Singida amerudisha fomu ya  kuomba ridhaa ya kupitishwa na chama chake kugombea nafasi ya Ubunge wa Viti Maalumu kupitia kundi la vijana.

Wellia amerejesha fomu hiyo leo Julai 2, 2025 na kupokelewa na Katibu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Benedictor Bujiku.

Makada wengine wanaowania nafasi hiyo ni Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Rehema Sombi Omary na Munira  George 

Rebecca Julius Wellia akihojiwa na waandishi wa habari.
 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad