DK SAMIA SULUHU HASSAN: KIONGOZI MWENYE UTU, HURUMA, UPENDO, CHAGUO LA USHINDI

Subscribe Us

DK SAMIA SULUHU HASSAN: KIONGOZI MWENYE UTU, HURUMA, UPENDO, CHAGUO LA USHINDI


 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mgonjwa

.............................

Katika safari ya taifa letu, kila zama huibua shujaa wake. Kila kizazi huandikwa kwa jina la kiongozi wake anayesimama mstari wa mbele kuongoza umma kuelekea kwenye matumaini mapya. Katika zama zetu, jina hilo ni Samia Suluhu Hassan – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mwanamke jasiri ambaye ameandika historia ya uongozi wa hekima, upendo na mshikamano.

Lakini zaidi ya hadhi ya cheo chake, kinachomtofautisha Rais Samia ni utu na moyo wa huruma. Ni mama anayesimama bega kwa bega na Watanzania, akilia na wanaolia, akicheka na wanaocheka, na kusimama mstari wa mbele kuonyesha kuwa matatizo ya raia wake ni matatizo yake binafsi...SOMA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments