KURA NI CCM, SULUHU NI SAMIA, UTHUBUTU NI NCHIMBI

Subscribe Us

KURA NI CCM, SULUHU NI SAMIA, UTHUBUTU NI NCHIMBI

Mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan

 Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi

.........................................................

Katika upepo wa kisiasa wa Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, historia mpya inaandikwa. Ni historia ya mshikamano, ya upendo, na ya siasa zenye sura ya matumaini. Ni historia inayowaweka kwenye ukurasa wa pekee Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan, na Mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi. Wamegawana majukumu si kwa vyeo, bali kwa dhamira ya kupeleka ujumbe wa matumaini na sera za maendeleo kwa kila kona ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Samia – Suluhu ya Matatizo, Mama wa Taifa

Katika mkutano uliofurika Morogoro Vijijini, maelfu ya wananchi walimiminika kumsikiliza Dk. Samia. Si kwa sababu ni Rais pekee mwanamke...SOMA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments