Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akirejesha fomu za kugombea nafasi hiyo katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Njedengwa Jijini Dodoma
...............................
Tanzania inaandika ukurasa mpya wa historia yake ya kisiasa. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemteua rasmi Dk. Samia Suluhu Hassan kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwa sambamba na mgombea mwenza wake, Dk. Emmanuel Nchimbi. Ni hatua inayofungua pazia la matumaini mapya, mshikamano na upendo wa kitaifa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025...SOMA ZAIDI
0 Comments