MAVUNDE AITIKISA DODOMA: MAMIA WAMSINDIKIZA KUCHUKUA FOMU

Subscribe Us

MAVUNDE AITIKISA DODOMA: MAMIA WAMSINDIKIZA KUCHUKUA FOMU


  Mbunge mteule wa Jimbo jipya la Mtumba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde, akizungumza na wanachama wa chama hicho baada ya kukabidhiwa fomu Agosti 26, 2025.

....................

Na Godwin Myovela, Dodoma 

Dodoma jana iligeuka uwanja wa shamrashamra baada ya Mbunge mteule wa Jimbo jipya la Mtumba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde, kuchukua fomu katika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) huku akisindikizwa na mamia ya wanachama na wafuasi wa chama hicho.

Safari ya Mavunde kutoka ofisi za tume ilitawaliwa na mbwembwe, nderemo, vifijo na nyimbo za kizalendo, mitaa ya katikati ya jiji ikibubujika rangi za kijani na njano, huku wananchi wengine wakifurika madirishani na juu ya majengo wakipunga mikono kuonesha mshikamano wao...SOMA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments