Na John Mapepele
Mgombea wa Nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Rufiji kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)na MNEC kupitia Mkoa wa Pwani, Ndugu Mohamed Omary Mchengerwa amewaongoza maelefu ya wanaCCM wa Mkoa wa Pwani kuhudhuria uzinduzi wakihistoria wa kampeni ya mgombea wa urais kwa CCM Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Uzinduzi huu unafanyika leo katika viwanja vya kawe jijini Dar es Salaam huku maelfu ya wananchi na wanaCCM kutoka katika mikoa mbalimbali nchini wakifurika kushuhudia uzinduzi huu.
Aidha, uzinduzi huu imepambwa na wasanii mbalimbali ambao wameburidisha umati wa maelfu ya wananchi waliohudhuria.
Tayari Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imempitisha Mhe. Mchengerwa kugombea Ubunge jimbo la Rufiji baada ya kurejesha Fomu za ubunge Utete wilayani Rufiji...SOMA ZAIDI
0 Comments