Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan akipunga mkono wakati akiwasili kuzindua Kampeni za Uchaguzi za Chama hicho katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025...TIZAMA ZAIDI
0 Comments