Meridianbet wanamwaga pesa haswa siku ya leo kwenye burudani kubwa ya EPL. Meridianbet inakuandalia odds za kipekee na fursa kubwa za kubashiri kila pambano, kuhakikisha kila bashiri anapata nafasi ya kushinda. Leo ni siku yako ya kuingia kwenye mchezo wenye uhakika wa pesa.
Mchezo wa Nottingham Forest dhidi ya Chelsea unatufungulia ukurasa wa burudani ya siku na unachezwa mnamo saa 14:30. Chelsea wanatarajiwa kuingia uwanjani kwa lengo moja pekee, kuutafuta ushindi, lakini Forest hawatatoa alama kirahisi nyumbani. Odds za Meridianbet ni moto, chagua upande wako sasa kabla mechi haijaanza.
Brighton na Newcastle ni pambano la kuvutia mashabiki wote. Brighton wakiwa nyumbani American Express Community Stadium wanataka kurejesha nguvu baada ya ushindi mara mbili tu msimu huu, huku Newcastle wakijiandaa kuonyesha mchezo bora. Odds zinazotolewa na Meridianbet zinaongeza msisimko na fursa ya ushindi mkubwa.SOMA ZAIDI









No comments:
Post a Comment