DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA SUMBAWANGA MKOANI RUKWA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, 19 October 2025

DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA SUMBAWANGA MKOANI RUKWA

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Sumbawanga mjini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Rukwa tarehe 19 Oktoba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Sumbawanga mjini mkoani Rukwa tarehe 19 Oktoba, 2025. 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad